Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Halima O. Dendego kwa niaba ya Menejimenti , Watumishi na wananchi wa Mkoa wa Iringa anatoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen C. Sendiga , Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mhe. Janeth Mayanja, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Ndg. Francis Namaumbo , Wananchi na Familia zote zilizopoteza Wapendwa wao katika Mafuriko yaliyotokea Wilayani Hanang tarehe 03 Desemba, 2023. Anawaombea majeruhi wote wapone kwa haraka
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.