Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba lSeptemba 12,2024 amefunga mafunzo ya Muujibu wa sheria katika kikosi cha Jeshi 841 KJ Mafinga
Kabla ya kufunga Mafunzo hayo Mhe. Serukamba alipokelewa na Mwenyeji wake ambaye ndiye Mkuu wa kikosi Kanali Issa Chalamila na badae akagua gwaride
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.