Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa inasikitika kutangaza kifo Cha Mtumishi na Mwanafamilia wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Bi. Yohanalucy Balama ambae alikuwa Mwandishi Mwendesha Ofisi Idara ya Uchumi na Uzalishaji, kilichotokea Tarehe 21/05/2023 katikat Hospital ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu
Raha ya milele umpe Eeh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie , Apumzike kwa Amani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.