Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Halima O. Dendego anasikitika kutanganza kifo ha Mtumishi na Mwanafamilia, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu Bw. DEOGRATIAS YINZA kilichotokea Tarehe 25/07/2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu
Raha ya Milele umpe Eeh Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.