Ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wafanyakazi nchini kuanza utaratibu wa kujiwekea akiba kwa maisha yajayo
Akizungumza katika maadhimisho hayo Mhe. Serukamba akewasisitiza Watanzania kwa kusema kuwa Dunia inapaswa kuiga kutoka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwa kuiga na wao kuanza kujiwekea akiba katika maisha yajayo kwenye familia
Pia ameongeza kwa kuwataka wafanyakazi hao kuwa na maadili katika utendaji wa kazi wawapo Ofisini na pindi wanapowahudumia wananchi.
Sambamba na hayo amewataka wafanayakazi hao kuendeleza mapambano ya kupambana na ukatili wa kijinsia na kutokomeaza udumavu katika Mkoa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.