Katibu tawala wa mkoa Happyness Seneda akiwaameambatana na mkuu wa wilaya ya Iringa mjini mhe,Richard Kasesela,mkuu wa wilaya ya Mufindi mhe,Jamuhuri David William pamoja na kanali Mpimbi wakizungumza na vijana ambao wanataka kujiunga na jeshi la wananchi.Ambapo usahili huo unafanywa na kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.Vijana walioomba nafasi ya kujiunga na JKT ni 414 ambao wanaendelea sasa kufanyiwa usahili sasa kwa ngazi mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.