Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ametoa maaagizo kwa kuwachukilia hatua za kinidhamu watumishi wote watakaobainika wamefanya ubadhilifu wa Fedha zilizotolewa na Serikali.
Mhe. Serukamba ametoa maagizo hayo leo Julai 02,2024 wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani cha kupitia hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), ambapo Mhe. Serukamba amewaagiza viongozi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanawashughulikia ipasavyo wale wote waliofanya ubadhilifu wa fedha za Serikali.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.