Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Julai 06, 2024 ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Tosamaganga pamoja na uzinduzi wa huduma ya mionzi katika hospitali hiyo iliyopo mkoani Iringa.
Mheshimiwa Majaliwa yupo Mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.