
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA GRUMA 2025
Posted on: July 5th, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (Mb), leo Julai 05, 2025 akiwa ameongozana na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James wameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon (GRUMA 2025) ...