Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba M. Ndaki amewataka wafugaji mkoani Iringa wanaowazunguka wawekezaji wa mifugo kuona fursa kwa wawekezaji hao badala ya kuwaona kama washindani wao.Pia waziri Mashimba amewataka wafugaji kuacha mfumo wa ufugaji uliokuwa unatumiwa zamani ambao haukuwa kibiashara na kuanza ufugaji wa kibiashara ambao unafaida kubwa kwa mfugaji.
Copyright ©2024 Iringa Regional Secretariat. All rights reserved.