Ndugu Msomaji Karibu katika Tovuti rasmi ya Mkoa wa Iringa. Tovuti hii itakupatia taarifa rasmi, nyaraka, picha, video, na msaada wa karibu wa takwimu na taarifa zinazohusu Mkoa wa Iringa kwa haraka na uhakika. Mnakaribishwa kutoa Maoni ya namna bora ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa Mwananchi katika sekta zote zilizopo Mkoani Iringa. Tuna Imani Tovuti hii itakua kiunganishi kati ya serikali Mkoani Iringa, taasisi za umma na binafsi pamoja na Mwananchi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.