Posted on: April 29th, 2025
Ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya mwenge Mkoa wa Iringa, leo April,29,2025 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amemkabidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Rebeca Nsemwa.
Mwenge ...
Posted on: April 28th, 2025
Rc Senyamule Akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Selukamba, Makabidhiano hayo yamefanyika Katika Kijiji Cha Makatapola Wilaya ya Iringa, Mkoani Iringa April 28/ 2025....
Posted on: April 27th, 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Aprili 27, 2025. Amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumuweka wakfu...