Mhe Queen Sendiga (Mkuu wa Mkoa Iringa) kwa pamoja na wananchi wa Mkoa wa Iringa tunaungana kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mhe Samia Suluh Hassan
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh,Queen Sendiga amepongeza wilaya ya Mufindi kwa kuwatika miche ya korosho
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba M. Ndaki amewataka wafugaji mkoani Iringa wanaowazunguka wawekezaji wa mifugo kuona fursa kwa wawekezaji hao badala ya kuwaona kama washindani wao.Pia waziri Mashimba amewataka wafugaji kuacha mfumo wa ufugaji uliokuwa unatumiwa zamani ambao haukuwa kibiashara na kuanza ufugaji wa kibiashara ambao unafaida kubwa kwa mfugaji.
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.