RC Ally Hapi akipokea maandamano ya kumpongeza Mh. Rais kwa kuwafutia wachimbaji wadogo wa madini baadhi ya kodi Mkoani Iringa.
RC Ally Hapi atoa kalipio kali kwa makampuni yote yanayofanya biashara ya nguzo za umeme Mkoani Iringa, kwamba kufikia Tarehe 28 Januari 2019 wawe wamelipa tozo zote wanazo daiwa kwenye Halmashauri husika zilizopo ndani ya Mkoa wa Iringa. pia ametoa masaa 48 magari yote yaliyopakia nguzo yaliyopo ndani ya kampuni hizo waanze kusambaza nguzo hizo kwenye miradi husika.
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.