RC Ally Hapi atoa kalipio kali kwa makampuni yote yanayofanya biashara ya nguzo za umeme Mkoani Iringa, kwamba kufikia Tarehe 28 Januari 2019 wawe wamelipa tozo zote wanazo daiwa kwenye Halmashauri husika zilizopo ndani ya Mkoa wa Iringa. pia ametoa masaa 48 magari yote yaliyopakia nguzo yaliyopo ndani ya kampuni hizo waanze kusambaza nguzo hizo kwenye miradi husika.
Katibu Tawala msaidizi eneo la Serikali za Mitaa RS Iringa ametoa ufafanuzi juu ya makusanyo ya Halmashauri na changamoto zake pia mikakati ya utatuzi wa changamoto hizo ili makusanyo ya mapato yaweze kuongezeka zaidi.
AFISA ELIMU WA MKOA IRINGA AKIELEZEA HALI HALISI YA UFAULU NA JINSI GANI MKOA UMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO HIZO ZILIZOPO KWENYE SEKTA YA ELIMU ILI KUHAKIKISHA
WANAFUNZI HAO WANAFIKA SHULENI KWA WAKATI NA KUANZA MASOMO YAO.
Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.