Posted on: September 5th, 2017
Na. ofisi ya mkuu wa mkoa
Watahiniwa zaidi ya 24,000 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2017 mkoani Iringa.
Kauli hiyo ilitolewa na afisa elimu mkoa wa Iringa, mwalim...
Posted on: August 31st, 2017
Mikoa ya nyanda za juu kusini imetakiwa kudumisha umoja katika kufanikisha maonesho ya Utalii Karibu Kusini na shughuli za viwanda vidogo mwaka 2017.
Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa kikao cha v...
Posted on: August 30th, 2017
Watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wametakiwa kuacha ushabiki wa kisiasa katika kutekeleza majukumu yao ya kiserikali katika kuwahudumia wananchi.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa mkoa w...