Posted on: August 30th, 2022
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amefanya ziara katika shamba la Shirika la Farm for The Future lililopo katika eneo la Masukanzi Ilula na kujionea shughuli mbalimbali za kilimo na ufugaji. A...
Posted on: August 12th, 2022
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na chief wa wahehe Adam, pamoja na baraza la wazee wa kihehe Jana alipofanya mkutano wa hadhara katika tarafa ya ismani, huu ndio ulikuwa mkut...
Posted on: August 12th, 2022
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya Mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Samora Mkoani Iringa, akiwa uwanjani hapo samora mhe Rais Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na mapokezi makubw...