Posted on: September 9th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe Ally Hapi amekataa kuweka jiwe la msingi jengo la kliniki ya uzazi na afya ya mtoto katika kituo cha afya Mgololo, wilayani Mufindi baada ya kutoridhishwa na gharama ...
Posted on: September 9th, 2018
Serikali ya Mkoa wa Iringa imekiagiza kiwanda cha karatasi Mufindi (MPM) kuanza kuzalisha karatasi nyeupe ili kuongeza ajira kwa vijana na mapato ya Serikali.
Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa ...
Posted on: September 8th, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi ametoa mwezi mmoja kwa mtu yeyote aliyechukua mashine za kukatia Almasi aisalimishe ofisini kwake.
Agizo hilo alilitoa alip...