Posted on: March 9th, 2022
Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga amepokea ugeni ukiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa
Imekuwa siku njema ambayo inaleta mwanga mwingine wa siasa nchini Tanzania.
...
Posted on: March 9th, 2022
Mhe Queen Sendiga amepokea ugeni wa Balozi wa Italia hapa nchini Mheshimiwa Marco Lambardi ambaye yupo mkoani kwetu kwa ziara fupi ya kikazi.
18m
...
Posted on: March 8th, 2022
Mhe mkuu wa Mkoa Iringa(Queen Sendiga) amerudhia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa Mkoa wa Iringa yamefanyika viwanja vya Mwembetogwa...