Posted on: July 20th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Iring Mhe. Queen Cuthbert Sendiga amezindua kampeni ndogo ya chanjo ya UVIKO-19 Mkoani Iringa ambayo ina lengo la kuongeza kasi ya uchanjaji.
Mhe.Sendiga amesema kuwa Mkoa wa Iringa...
Posted on: July 2nd, 2022
Waziri wa maliasili na utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana amezindua mfumo wa kushughulikia malalamiko yatokanayo na shughuli za mradi wa kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii ku...
Posted on: July 2nd, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imetoa mikopo yenye thamani ya milioni 819 kwa vikundi mbalimbali ya vijana, walemavu na wanawake ikiwa ni asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.
Mikopo hiyo imekabid...