Posted on: May 7th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amewataka watunza kumbukumbu nchini kuhakikisha wanakuwa na uaminifu na watunza siri katika utendaji wao wa kazi.
Ameyasema hayo leo Mei, 07, 2024 wakati a...
Posted on: May 1st, 2024
Ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka wafanyakazi nchini kuanza utaratibu wa kujiwekea akiba kwa maisha yajayo
Akizung...
Posted on: April 29th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameendelea na ziara ya kukagua miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na kupongeza baadhi ya miradi.
Akiwa katika ziara hiyo Mhe. Serukamba amemu...