Posted on: June 21st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe, Queen Sendiga, leo ameongoza kikao kazi cha tathimini ya mradi wa Tasaf kilichofanyikia katika ukumbi wa Halmashauri ya Mufindi.
Mhe, Queen Sendiga (RC) akifungua kikao ...
Posted on: June 17th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe, Queen Sendinga amesema kuwa serikali ya Mkoa wa Iringa imetoa zaidi ya bilioni kwenye mfuko wa akina mama wa asilimia 4 na wamejipanga kuhakikisha mwaka ujao wa fe...
Posted on: June 14th, 2022
Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi. Happiness Seneda, leo ametoa pongezi kwa Maafisa elimu wa wote walipo ndani ya Mkoa kwa juhudi mbalimbali walizozifanya ambazo zimeongeza ufaulu ndani ya Mkoa.
P...