Posted on: December 25th, 2021
Mhe Queen Sendiga anaungana na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuwatakia watanzania wote Heri ya krismasi na Mwaka mpya...
Posted on: December 21st, 2021
Mhe Queen Cuthbert Sendiga afanya ziara ya ukaguzi wa madarasa pamoja na madaraja Wilaya ya Iringa Vijijini pia tunategemea kulizindua daraja la Tosamaganga tarehe 5/02/2021 ili wanachi waweze kupita ...
Posted on: December 20th, 2021
Mhe Queen Sendiga, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, amewaamasisha wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa dhidi ya maambukizi ya UVIKO-19,tahadhari itatuweka salama,tuna kila sababu ya kufanikiwa kat...