Posted on: August 16th, 2017
Mamlaka za serikali za mitaa mikoa ya nyanda za juu kusini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kupima afya katika Kata ili wananchi wengi wanufaike na huduma za afya na kukabiliana na magonjwa.
Kauli hi...
Posted on: August 16th, 2017
Vyama vya ushirika katika mikoa ya nyanda za juu kusini vimetakiwa kushikamana katika kukuza ushirikiano na mtaji.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipotembelea banda ...
Posted on: August 16th, 2017
Wakulima na wajasiriamali watakiwa kuweka utaratibu wa kutunza kumbukumbu za mahesabu ili kubaini faida na hasara inayopatikana katika shughuli zao.
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Ir...