Posted on: May 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ametoa onyo kali kwa wauzaji wa dawa kiholela akisema kuwa Serikali haitamfumbia macho mtu yoyote atakae kutwa na dawa bandia.
Ameyasema hayo wakati akif...
Posted on: May 15th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ametoa ushauri kwa kwa Halmashauri ya Mji Mafinga kuongeza Majengo katika Kituo cha Afya cha Upendo.
Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua miradi ili...
Posted on: May 14th, 2024
Katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameishauri Halmashauri ya Mji Mafinga katika moja ya miradi yake ya umwagiliaji, kuwekeza katika kilimo cha vitungu...