Posted on: February 4th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Iringa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dr. Detlef Waechter ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Ujerumani na Mkoa wa Iringa wana historia kubwa...
Posted on: January 24th, 2019
RC Ally Hapi amekutana na wadau wa utalii Mkoani Iringa, kuelezea juu ya uwekezaji ndani ya Mkoa. Kikao hicho kimeamsha hali ya uwekezaji kwa wamiliki wa Hoteli na kumuahidi Mkuu wa Mkoa kwamba watash...
Posted on: January 10th, 2019
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, IRINGA
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Mhe Ally Hapi amezitaka kampuni zote zilizopo mkoani Iringa zinazojishughulisha na ununuzi na uuzaji wa mbao pamoja na uuzaji wa nguzo za u...