Posted on: June 6th, 2025
Zaidi ya washiriki 10,000 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya kitaifa ya michezo kwa shule za msingi na sekondari, UMITASHUMTA na UMISSETA, yatakayofanyika mkoani Iringa kwa mara ya kwanza mwaka 2025...
Posted on: June 2nd, 2025
Kambi maalum ya madaktari bingwa chini ya mpango wa Mama Samia imewasili rasmi Mkoani Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambapo Kambi hiyo itatoa huduma katika Halmashauri tano ...