Posted on: April 28th, 2022
Mkuu wa mkoa iringa mh:sendiga amefanya ziara yake mkoani iringa kata ya luhota kwenye mladi wa daraja ambalo linajengwa ili kuwasaidia wananchi wa luhota katika usafirishaji pia mh:sendiga aliongeza ...
Posted on: April 27th, 2022
Mkuu wa mkoa iringa Mh: sendiga akiwa katika ziara ya kukagua mladi wa barabara ya ikengeza ,makungu, mpaka nyororo yenye urefu wa kilomita kumi (10) yenye kiwango cha changarawe, Barabara hiyo ...
Posted on: April 26th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Queen Cuthbert Sendiga pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa wanawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...